Tazama wachezaji wa Yanga ‘wanavyoshoo Love’ Tunisia

 Kutoka kulia, Mkuu wa idara ya habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro, Jerryson Tetege, Amissi Tambwe na Mbuyu Twite wakishoo ‘Love’ nchini Tunisia baada ya kutua wakitokea Dubai.Yanga na Etoile du Sahel zitachuana jumamosi kuanzia saa 3:00 kwa saa za Tanzania katika mechi ya marudiano ya hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho.
Mechi ya kwanza timu hizo zilitoka sare ya 1-1 uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Cheki Mjomba Mrisho Ngassa na Kelvin Yondani walivyotupia kofia kisela

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.