WILAYA YA KISARAWE YAZINDUA MRADI WA UENDELEZAJI WA ARDHI


 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati wa  uzinduzi wa mradi wa uendelezaji wa ardhi katika wilaya hiyo. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele na Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko
 Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto Ofisa Ardhi na Maliasili wa wilaya hiyo, Cheyo Nyelege na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe uliopo mkoani Pwani, Adamu Ng'imba.
 Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Kisarawe, Adamu Ng'imba (wa pili kushoto) akiwa meza kuu na viongozi wengine.
 Baadhi ya madiwani na maofisa wa wilaya hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
 Baadhi ya wazee wa wilaya hiyo wakiwa kwenye mkutano huo.
 Ofisa Mtendaji wa mji huo, Constantine Mnemele (katikati), akitoa ufafanuzi kadhaa kwa wanahabari. Kulia ni Mwanasheria wa wilaya hiyo, Allen Ndomba na  Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya hiyo,  Mwanamvua  Mrindoko.

 Wadau mbalimbali wa Wilaya hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
 Wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo. (Imeandaliwa na mtandao wa http:www.habarizajamii.com)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*