KINANA AANZA ZIARA, AWATAKA WANANCHI KUACHA KUWASHABIKIA WAGOMBEA URAIS CCM, BALI WAWAPIME UWEZO WAO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akishuka kwenye basi katika Kituo cha Msamvu, Morogoro, kwenda kuwasalimia wananchi, akiwa safarini kwenda Kanda ya Ziwa kufanya ziara katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza, ambako atafanya kazi ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguziya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akishuka kwenye basi maalumu kwa ajili ya kwenda Kanda ya Ziwa kuiumarisha uhai wa chama.
 Komredi Kinana akisalimiana na wafuasi wa chama hicho pamoja na wananchi alipowasili Msamvu, Morogoro.
 Basi maalumu analoswafiri nalo Komredi Kinana kutoka Dar kwenda katika ziara katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza, kuhitimisha ziara yake ya nchi nzima.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wafuasi wa CCM wakishangilia kwa furaha wakati Komredi Kinana akihutubia eneo la Msamvu, mjini Morogoro
 Nape akihutubia wananchi eneo la Msamvu Morogoro
 Komredi Kinana akihutubia wananchi katika Kituo cha Mabasi cha Msamvu, Morogoro, ambapo aliwataka wananchi kuacha tabia ya kuwashabikia wagombea urais kupitia chama hicho, bali wawapime endapo wana uwezo wa kuongoza nchi kwa kuwatatulia changamoto zinazowakabili/
 Komredi Kinana akiwaslkamia wananchi alipowasili mjini Dodoma akiwa njiani kwenda mikoa ya kanzda ya ziwa
 Komredi Kinana akihutubia katika Kituo cha mabasi mjini Dodoma, ambapo aliwataka makondakta na madereva kujitokeza kuwania nafasi za udiwani na ubunge kupitia chama hicho.
 Wasanii wakimlaki Komredi Kinana mjini Singida
 Komredi Kinana akiwasalimia wananchi alipowasili mjini Singida
 Nape akiwasalimia wananchi mjini Singida
 Komredi Kinana akihutubia mjini Singida

 Komredi Kinana akisalimiana na Mbunge wa Nzega, Hamis Kigangwala alipowasili mjini Nzega
 Wananchi wakiwa wamemzonga Komredi Kinana wakimuuliza maswali wengine kutaka kumsalimia
Komredi Kinana akilakiwa na viongozi wa CCM wilayani Kahama

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI