KOMREDI KINANA AFANYA KWELI JIMBO LA SUMVE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiswaga ng'ombe na mbuzi waliotoka kunywa maji kwenye lambo baada ya kuzindua wakati wa  ziara yake  Jimbo la Sumve, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Komredi Kinana akizungumza wakati wa uzinduzi wa lambo hilo lenye maji safi na salama
 
 Komredi Kinana (katikati) na Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndassa (kulia) wakiangalia umeme wa jua unaosaidia kusukuma maji kwenda kwenye lambo hilo.
 Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndassa akizungumza na wananchi na kuwataka kulitunza lambo hilo.
 Komredi Kinana akioneshwa chupa yenye mafuta ya alizeti alipokagua Mradi wa usindikaji wa alizeti katika Kijiji cha Lyoma, Jimbo la Sumve, wilayani Kwimba leo.
Komredi Kinana akilakiwa kwa shangwe na nderemo nderemo katika Kijiji cha Malya na kutoa kilio cha cha kudhulumiwa viwanja vyao na Halamashauri ya Wilaya licha ya kulia fedha za kupimia.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, akijieleza mbele ya Komredi Kinana kuhusu dhuluma ya viwanja vya wanan Kijiji cha Malya.

Komredi Kinana akipatiwa zawadi ya mafuta ya alizeti baada ya kukgaua kiwanda cha kusindika alizeti katika Kijiji cha Lyoma, Jimbo la Sumve.
Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu akionesha kadi zilizorejeshwa na wananchama wa Chadema waliojiunga na CCM
Komredi Kinana akiimbiwa wimbo na kikundi cha kwaya katika Kijiji cha
Komredi Kinana akijadiliana jambo na viongozi wa CCM, Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu (kulia) na Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndassa kulia kwake.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo la Sumve wakiwakatika mkutano na Katibu Mkuu.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa kwa ngoma za jadi katika kijiji cha Mwabilanda wilayani Kwimba .
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Bi. Coretha Kulwa mkazi wa kijiji cha Mwabilanda mara baada ya kuzindua huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa kijiji hicho.
Mbunge wa Jimbo la Sumve, rICHARD nDASSA AKISAIDIA KUMTWISHA NDOO MAMA MKAZI WA Kijiji cha Mwabilanda, Jimbo la Sumve.
Komredi Kinana akizungumza na viongozi wa Kamati ya Maji ya Kijiji cha Mwabilanda baada ra kuzindua mradi wa maji
Komredi Kinana akilakiwa kwa furaha katika Kijiji cha Mwashilalage ambapo alishiriki ujenzi wa Zahanati ya kijiji nicho.
Ni furaha iliyoje katika Kijiji hicho cha Mwashilalage

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanganya zege wakati wa ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Mwashilalage.
Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndassa akishiriki katika ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Mwasilalage
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Sumve ambapo aliwahakikishia ahadi za CCM zitatekelezwa.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi za Chadema kutoka kwa vijana 20 waliojiunga na CCM na wanachama wapya zaidi ya 1520 walipewa kadi zao za CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Sumve.
Katika ziara yake kwenye jimbo la Sumve Katibu Mkuu wa CCM amepokea kadi 48 kutoka Chadema ikiwa 28 zilizorudishwa katika kijiji cha Goloma kata ya Mwadu.
Komredi Kinana akionesha kadi za Chadema zilizoreshwa na waliokuwa wanachama wa chama hicho, baada ya kuijiunga b na CCM

Kadi za chadema zilizorejeshwa  na waliokuwa wanachama wao katika mkutano wa CCM mjini Sumve leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.