KOMREDI KINANA AONGOZA JOGGING JIJINI MWANZA ASUBUHI HII

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kushoto) akiongoza Jogging katika mkitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza asubuhi hii, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Leo atafanya ziara katika Jimbo la Nyamagana na kesho Ilemela.Wa tatu kulia ni Katibu wa Iyikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
 Komredi Kinana (katikati) akifanya Jogging pamoja na Nape (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) pamoja na Katibu wa CCM  wa mkoa huo, Miraji Mtaturu.








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.