KOMREDI KINANA ATINGA KAGERA KUANZA ZIARA YA KANDA YA ZIWA


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi aliposimama kwa muda katika Kata ya Nyakanazi, wilayani Biharamuro akitokea Kahama, Shinyanga kwenda Bukoba kuanza ziara ya kikazi ya siku 28 katika mikoa ya Kagera, Geita na Mwanza.
 Komredi Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) wakilakiwa na viongozi wa chama hicho mkoa wa Kagera.
 Komredi Kinana akivishwa skafu baada ya kuwasili katika Kata ya Nyakanazi, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera.
 Komredi Kinana akikagua gwaride la vijana wa CCM
 Wanachama wa CCM wakisalimiana na Komredi Kinana

 Wananchi wakiwa na hamu ya kusalimiana na Komredi Kinana
 Nape akiwa amembeba mmoja wa watoto wa mkazi mmoja wa Kijiji cha Biharamulo
 Komredi Kinana akiangalia ngoma ya asli iliyokuwa inatumbuiza  alipowasili katika Kijiji cha Nyakanazi
 Nape akihutubia katika mkutano  ambapo aliwaambia watu wanaoendelea kushabikia upinzani kuwa ni washama wa siasa.
 Komredi Kinana na Nape wakiwa na baadhi ya viongozi  wa CCM Mkoa nwa Kagera wakielekea kwenye mkutano na wafugaji mjini Nyakanazi, wilayani Biharamulo.
 Komredi Kinan aakipita na katika soko la Nyakanazi

 Komredi Kinana akiwa na viongozi wa Umoja wa Wafugaji Kanda ya Ziwa kwenda kumuonesha bonde ambapo wakikamatwa ng'ombe na Polisi wanayapori huwakusanya na kuwatesa kwa kutowapatia chakula na maji, ambapo pia hulipishwa faini kubwa.
 Komredi Kinana akiteremka kwenye bonde hilo lililopo katika Kijiji cha Nyakanazi baada ya kuoneshwa na viongozi wa wafugaji.
Nape akihutubia wakati msafara wa Komredi Kinana  uliposimama kwa muda waliposimama kwa muda katika Kijiji cha  Kyamiolwa wilayani Muleba
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongela  akihutubia katika mkutano katika Kijiji cha Kyamiolwa
Komredi Kinana akizungumza na wananchi wa Kijiji hicho cha Kyamiolwa, wilayani Muleba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU