KOMREDI KINANA AWAVURUGA WAPINZANI JIJINI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la CCM katika Kijiji cha Buhongwa, Jimbo la Nyamagana, jijini Mwanza leo, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza  kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
 Sehemu ya umati wa watu uliohudhuria katika mkutano ambapo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alihutubia na kufungua Jengo la Kitega Uchumi la CCM katika Kijiji cha Buhongwa, Jimbo la Nyamagana, jijini Mwanza.
 Wanachama wa Vicoba, Bodaboda, Machinga na Mama Lishe wakimsikiliza kwa makini Komredi Kinana alipokuwa akizungumza nao kuhusu changamoto zinazowakabili, ambapo aliwaahidi kuwafanyia mipango ya kupata mikopo yenye riba nafuu katika Benki ya CRDB na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).
 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Konisaga Baraka akitoa taarifa ya wilaya ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kwenye Ukumbi wa Chuo cha Benki Kuu, jijini Mwanza.
 Komredi Kinana akizungumza katika mkutano wa ndani wa Halmashauri Kuu ya CCM YA Wilaya ya Nyamagana.
 Komredi Kinana akilakiwa na wananchi alipowasili kufungua rasmi Daraja la Isegenge katika Kata ya Mahina LILILOJENGWA NA Halmshauri ya Wilaya ya Nyamagana.
 Wananchi wakipita katika daraja la zamani la Isegenge katika Kata ya Mahina, Nyamagana mkoani Mwanza.
 Komredi Kinana  akikata utepe wakati wa ufunguzi wa Daraja la Isegenge, Kata ya Mahina, wilayani Nyamagana.
 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Konisaga Baraka akizungumza kwakati wa ufunguzi wa barabara hiyo.
 Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akielezea umuhimu wa daraja hilo linalorahisisha mawasiliano ya usafiri kati ya Kata ya Mahina na Muhandu katika Wilaya ya Nyamagana.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza wakati wa hafla hiyo
 Komredi Kinana akihutubia baada ya kufungua rasmi daraja hilo
 Komredi Kinana akiingia katika mkutano wa hadhara katika Mji wa Igoma, wilayani Nyamagana.

 Komredi KIinana akikagua ujenzi wa tanki la maji katikja Kijiji cha Fumagila, Kata ya Kishili, wilayani Nyamagana.
 Komredi Kinana akimpongeza Mwenyekiti wa  CCM Kata ya Nyegezi kwa kufanikisha mradi wa jengo la CCM Tawi la Muhongwa ambalo limezungukwa na maduka.
 Waendesha Bodaboda, Wapiga debe na akina Mama Lishe wakisalimiana na Komredi Kinana alipowasili katika Stendi ya Mabasi ya Nyegezi
 Wajasiriamali wakimlaki Komredi Kinana kwa mbwembwe alipowasili kufungua tawi la CCM la Wajasiriamali eneo la Nyegezi, jijini Mwanza

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akizungumza katika mkutano wa

Vijana Wajasiriamali wakishangilia kwa nderemo baada ya Komredi Kinana kufungua tawi la CCM la vijana hao jijini Mwanza
Komredi Kinana akipandisha Bendera ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi tawi la CCM la Wajasiriamali, jijini Mwanza leoKOMREDI

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.