LOWASSA APATA WADHAMINI ZANZIBAR, ATEMBELEA KABURI LA KARUME

Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Mon duli, Edward Lowassa, akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya kati ya kati mkoa wa Kusini Unguja Jumapili Juni 7, 2015, kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada hya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwea kjuwania urais kupitia CCM. (Picha na K-VIS MEDIA)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, 9wapili kulia), mkewe mama Regina Lowassa, (kulia) na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa mjini, Borafia Silima, (kushoto), wakitoa heshima mbele ya kaburi la hayati Mzee Abeid Amaan Karume, makao makuu ya ofisi ndogo za CCM, Kiqsiwandui, Zanzibar Jumapili Juni 7, 2015. Lowassa yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomun za kuwania urais baadaye mwaka huu. (Picha na K-VIS MEDIA)

la3
Waziri Mkuu wa zamani na Mbun ge wa Monduli, Edward Lowassa, akisalimiana na Naibub Katibu Mkuu bwa CCM, (Zanzibar), Vuai Ali Vuai, alkipofika kumsalimia makao makuu ya ofisi ndogo za CCM, Kisiwandui, Jumapili Juni 7, 2-015. (Picha na K-VIS MEDIA)

la5

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.