MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA, ANAYEMALIZA MUDA WAKE.

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasir Abu Jaish, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Picha zote na OMR
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasir Abu Jaish, anayemaliza muda wake wa kazi nchini wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga.
3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Nasir Abu Jaish, anayemaliza muda wake wa kazi nchini,  wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 19, 2015 kwa ajili ya kumuaga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA