MBUNGE WA UKONGA, MWAIPOSA AFARIKI DUNIA


Mama Eugene Mwaiposa enzi za uhai wake


Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa kafariki majira ya saa nne asubuhi mjini Dodoma.

Haijafahamika vema kama alikuwa anaumwa nini, lakini taarifa za awali zinasema, Amefia Rock hotel, jirani na kituo cha mafuta cha Shabiby.


TAARIFA YA NAIBU SPIKA
Bunge la jamhuri limepata msiba wa kufiwa na mbunge wa jimbo la Ukonga, alikuwa na tatizo la shinikizo la damu kwa muda mrefu, Amefariki nyumbani kwake hapa Dodoma. Nyumbani kwa marehemu ni eneo la Chaduru opposite na jengo jipya la hoteli ya Shabiby barabara ya Dar es Salaam, Mwili umepelekwa hospitali ya mkoa wa Dodoma kwa uchunguzi zaidi.

Shughuli ya Kuaga itafanyika kesho baada ya familia yake kuwasili hapa Dodoma. Tutatumia mtandao wa simu kuwajulisha taarifa zaidi, kwa jinsi hio natumia kanuni ya 152 kuahirisha bunge hadi keshokutwa Alhamis.Bonyeza HAPA kusikiliza sauti.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.