NAPE AUMALIZA MGOGORO WA WAFANYAKAZI WA UHURU PUBLICATIONS


 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye (wapili kushoto) akiagana na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications, Ramadhani Mkoma (wapili kulia), baada ya kuzungumza na wafanyakazi hao na kuumaliza mgogoro huo ulio kuwa ukiendelea,  kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Moses Makambi
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, akiagana na baadhi ya wafanyakazi hao baada ya kuzungumza Dar es Salaam leo



 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika Picha ya pamoja baada ya kuumaliza mgogoro wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Uhuru Publications, Dar es Salaam
 Wafanyakazi wa  Uhuru Publications katika Picha ya pamoja na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, baada ya kuumaliza mgogoro uliokuwa ukiendelea
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye katika picha na baadhi ya  wafanyakazi wa kampuni hiyo baada ya mazungumzo ya kutatua mgogoro huo leo
Afisa Mauzo wa Uhuru Publications Uwezo Kasongo akiwa amebebwa na Mhasibu wa kampuni hiyo , Paul Mng'ong'o. (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI