NHIF YATUMIA GARI KUTOA HUDUMA ZA AFYA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

 Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Viwanja vya Mnazi Mmmoja, Dar es Salaam
 
 1.      Vitengo vya upimaji afya bure, Elimu kwa Umma na Uanachama wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliofika bandani hapo.
 .       
2.  Mwananchin akihudumiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kuonekana anahitaji huduma ya kwanza katika banda la Mfuko. NHIF imeweka gari maalum kwa ajili ya kutoa huduma za haraka kwa wananchi watakaopata tatizo la afya viwanjani hapo.
 1.      Ofisa Mwandamizi wa NHIF, Luhende Singu akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kwa mteja.
 1.      Kitengo cha elimu kwa Umma kikiwa kazini
1.      Ofisa katika kitengo cha Uanachama akiendelea na majukumu yake
1.      Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma Anjela Mziray akionesha tuzo mbalimbali kwa Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji Bw. Rutazaa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA