OFISI YA RAIS UTUMISHI YAMUAGA RASMI ALIYEKUWA KATIBU MKUU BW. GEORGE YAMBESI

7
Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. George D. Yambesi (aliyesimama)  akizungumza katika hafla ya kuagwa iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jana jioni. 
2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (Mb)(kulia) akimkaribisha Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. George D. Yambesi katika hafla ya kumuaga iliyofanyika viwanja vya Leaders Club jana jioni.
1
Baadhi ya watumishi wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Rais-Utumishi wakiwa katika hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi iliyofanyika Leaders Club jana jioni.
3
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) iliyofanyika Leaders Club jana jioni. Wengine ni Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi Bi.Celina O. Kombani (Mb) (wa pili kutoka kulia) na Mama Yambesi (kushoto).
6
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga  aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (hayupo pichani) iliyofanyika Leaders Club jana jioni. Kushoto kwake ni Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi.
4
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (Mb) (wa pili kutoka kulia) akionyesha Tuzo ya Ununuzi Bora wa Umma  ya Ofisi ya Rais – Utumishi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) hivi karibuni baada ya kushinda.Wanaoshuhudia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) ,Katibu Mkuu Mstaafu Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) na Mama Yambesi (kushoto).
5
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi Mhe. Celina O. Kombani (wa pili kutoka kulia) akipokea kombe la mshindi wa kwanza wa mpira wa pete la mashindano ya Mei Mosi 2015 kutoka kwa Kapteni wa Timu ya Netiboli ya utumishi Bi. Elizabeth Fusi katika viwanja vya Leaders Club jana jioni. Wanaoshuhudia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Utumishi Bw. HAB Mkwizu (kulia) ,Katibu Mkuu Mstaafu Bw. George D. Yambesi (wa pili kutoka kushoto) na Mama Yambesi (kushoto

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA