TANZANIAN RESTAURANT - LUNCH BY CHEF ISSA IMETAJWA KWENYE ORODHA YA MIGAHAWA BORA KATIKA MIJI YA TROLLHÄTTAN NA VÄNERSBORG


Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa


Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote kwa bara la ulaya. Kusoma taarifa hiyo bofya link ya Fokus magazinehttp://en.calameo.com/read/0028316377167713a84d5 Habari ipo ukurasa wa mwisho



  

Karibu na Like Facebook page ya Tanzanian restaurant - Lunch by Chef Issahttps://m.facebook.com/profile.php?id=829878737101969 na kuwasiliana naye moja kwa moja kupitia ukarasa huo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Issa Kapande ambaye mwaka jana alikuwa katika timu ya taifa ya Sweden kwenye mashindano ya kombe la dunia la mapishi walikoibuka na medali ya dhahabu hivi karibuni alipokuwa nchini Sweden ziara ya kikazi na kukutana na Watanzania waishio nchini humo. Chef Issa, ambaye hivi karibuni amefungua mgahawa mkubwa kuliko yote wa Ki Afrika katika Ulaya yote mjini Trolhattan, nje kidogo ya jiji la Stockholm, wenye uwezo wa kuchukua watu 400 kwa wakati mmoja.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*