UNESCO kuwaweshesha wajasiriamali jamii ya Kimasai Ngorongoro


[caption id="attachment_58719" align="aligncenter" width="770"]Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues  (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili  kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa  bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro  utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro
utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia.[/caption] [caption id="attachment_58718" align="aligncenter" width="787"]Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia.[/caption] SHIRIKA la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania linatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro kama jitihada za kuongeza kipato kwa familia za jamii ya Wamasai. Akitoa maelekezo ya mradi huo juzi katika Kijiji cha Ololosokwan mbele ya Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo, Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues alisema mradi huo unatarajia kutekelezwa kuanzia Mwezi Agosti, 2015. Bi. Rodrigues alimueleza Kileo kuwa mradi huo unajumuisha ujenzi wa kituo cha kisasa cha sanaa ambacho kitatumiwa na wajasiliamali wa jamii ya Kimasai kwa ajili ya kuuza bidha zao za asili mbalimbali kwa watalii wanaofika kutembelea vivutio anuai vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro inayozunguka vijiji hivyo. Akifafanua zaidi juu ya mradi huo, Ofisa Mradi Utamaduni wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Rehema Sudi alisema mradi huo utajumuisha mafunzo ya ujasiliamali juu ya utengenezaji wa bidhaa za ngozi, pembe za ng'ombe pamoja na shanga ili kuziongezea thamani na kuuzwa kwa watalii anuai wanaotembelea vivutio na kukuza vipato vya familia hasa akinamama. Bi. Sudi aliongeza kuwa kata zinazotarajia kunufaika na mafunzo na ujenzi wa kituo hicho cha kisasa kwa ajili ya mauzo ya bidhaa hizo za asili za Wamasai ni pamoja na Kata za Ololosokwani, Arash, Soit Sambu, Oloipili na Kata ya Aoliani Magaidulu zote za Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. "...Mradi huu utajumuisha akinamama na wasichana kutoka kata tano ambazo ni Ololosokwani, Arash, Soit Sambu, Oloipili na Kata ya Aoliani Magaidulu, tutawapatia mafunzo juu ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali zinazotokana na ngozi na pembe za ng'ombe pamoja na shanga ikiwa ni hatua ya kuziongezea thamani kisha kuziuza kwa watalii ambao wanatembelea vivutio vya utalii eneo hili hasa Kijiji cha Ololosokwan," alisema Ofisa Mradi Utamaduni Unesco, Bi. Sudi. [caption id="attachment_58720" align="aligncenter" width="800"]Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues  (kulia) akimuonesha Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili  kulia) kompyuta ndogo mpakato ambazo zimefungwa katika darasa moja maalumu kwa mafunzo mbalimbali kwa watoto  na wahitaji wengine. Darasa hilo ni sehemu ya mradi wa kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu  ya macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na  'Ultra-sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimuonesha Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kulia) kompyuta ndogo mpakato ambazo zimefungwa katika darasa moja maalumu kwa mafunzo mbalimbali kwa watoto na wahitaji wengine. Darasa hilo ni sehemu ya mradi wa kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu
ya macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra-sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo.[/caption] [caption id="attachment_58715" align="aligncenter" width="800"]Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues  (kulia) akitembelea eneo la mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya  macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Katikati ni Katibu Tawala, Halmashauri  ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo pamoja na Ofisa Mradi Utamaduni wa Shirika la UNESCO nchini  Tanzania, Rehema Sudi wakikagua mradi huo. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akitembelea eneo la mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Katikati ni Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo pamoja na Ofisa Mradi Utamaduni wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania, Rehema Sudi wakikagua mradi huo.[/caption] [caption id="attachment_58721" align="aligncenter" width="800"]Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues  (kulia) akitembelea eneo la mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya  macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Katikati ni Katibu Tawala, Halmashauri  ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo pamoja na Ofisa Mradi Utamaduni wa Shirika la UNESCO nchini  Tanzania, Rehema Sudi wakikagua mradi huo. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akitembelea eneo la mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno pamoja na huduma za uchunguzi magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Katikati ni Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo pamoja na Ofisa Mradi Utamaduni wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania, Rehema Sudi wakikagua mradi huo.[/caption] [caption id="attachment_58717" align="aligncenter" width="800"]Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro. Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro.[/caption] Alisema wataalam na wabunifu wataletwa katika vijiji vya mradi na kutoa mafunzo kwa akinamama na wasichana kabla ya ujenzi wa kituo maalumu ambacho kitatumiwa na wanufaika wa mafunzo hayo kama eneo la kuuzia bidhaa zao ikiwa ni sehemu pia ya kulinda na kukuza tamaduni za jamii ya Wamasai. "...Tutazunguka na kutoa mafunzo juu ya ubunifu na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za ngozi, pembe za ng'ombe pamoja na shanga na kutengeneza bidhaa za asili kwa ajili ya kuziuza kwa wateja hasa watalii," alisema Bi. Sudi. Hata hivyo Ofisa huyo mradi Utamaduni wa UNESCO alisema sehemu ya maandalizi ya mradi huo unaotekelezwa kwa msaada wa UNESCO pamoja na washirika wengine ambao ni Umoja wa Ulaya (EU) na Chuo Kikuu cha Liechtenstein na pia Chuo Kikuu cha Ardhi cha Dar es Salaam imeanza kutekelezwa tangu Februari 2015. Mbali na mradi huo UNESCO pia inatekeleza mradi wa ujenzi wa Kijiji cha Dijitali, ambao unajumuisha ujenzi wa Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho, Kliniki ya kisasa ya matibabu ya meno pamoja na huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia fipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra-sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai katika Kijiji cha Ololosokwan huduma itakayosaidia jamii za wafugaji maeneo ya Ngorongoro. [caption id="attachment_58722" align="aligncenter" width="800"]Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro. Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro.[/caption] [caption id="attachment_58713" align="aligncenter" width="800"]Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro. Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro.[/caption] [caption id="attachment_58716" align="aligncenter" width="800"]Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro. Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro.[/caption] [caption id="attachment_58714" align="aligncenter" width="800"]Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro. Sehemu ya majengo ya mradi wa Kijiji cha kidijitali unaojumuisha Kliniki ya kisasa ya matibabu ya macho na meno, huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali kwa kutumia vipimo vya 'X-Ray' na 'Ultra- sound' na shule ya kisasa kwa ajili ya mafunzo anuai Kijijini hapo. Mradi huo unatekelezwa na Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania kwa kushirikiana na wafadhili wengine ikiwemo kampuni ya Samsung Tanzania Kata ya Ololosokwan wilayani Ngorongoro.[/caption] *Imeandaliwa na www.thehabari.com,Ngorongoro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI