WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI ZAIDI YA 800 KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za  kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.Picha zote na John Badi
SONY DSC
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto) wakifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akifuatilia kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
SONY DSC
Sehemu ya umati wa  wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.
SONY DSC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500. Picha zote na John Badi
SONY DSC
Katibu wa CCM Mtwara mjini, Modesta Mwaya akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia), fomu zilizotiwa saini na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara mjini, waliofika kwenye Ofisi hizo Juni 08.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.
SONY DSC
Sehemu ya umati wa  wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mtwara, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Mtwara mjini Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za  kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 500.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.