William Lukuvi awasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/16 bungeni mjini dodoma

mail.google.comWaziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma  Juni 8, 2015,
02
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akitenda jambo na Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mkuregenzi Mkuu wa Shirika hilo Bwn. Nehemiah Mchechu (kulia) na Meneja wa Shirika hilo Mkoa wa Dodoma, Bwn. Itandula Gambalagi.
01
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akibadirishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bwn. Nehemiah Mchechu, baada ya kuwasilisha Bungeni bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyimba na Maendeleo ya Makazi leo Dodoma.
Na. Georgina Misama…Maelezo…Dodoma.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI