Balozi
wa Papa Mtakatifu wa kanisa katoliki Nchini Franchesco Padilia akitosi
pamoja na Askofu Mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Dodoma Mathias
Isuja walipokua kwenye Tafrija Fupi ya kumpongeza Askofu mteule wa jimbo
hilo aliyekuwa akivishwa mkanda wa ngozi ya kondoo ujulikanao kama
Pallium. baada ya kumkabidhi kusimamaia majimbo ya Dodoma, Kondoa na
Singida
Balozi
anayemwakilisha Papa Fransico nchini, Askofu Beatus Kinyaiya na Fadha
Chesco Msaga Mwenye Suti wakiingia kwenye ukumbi wa kanisa katoliki
jimbo la Dodoma kwa ajili ya kumpongeza Askofu mwenyeji baada ya
kuvalisha mkanda wa uliotengenezwa kwa ngozi ya kondoo ujulikanao kama
Paliotakatifu [Pallium] ambao ni maalumu kwa maaskofu wakuu pekee.
Mapadri wakiwa ndani ya ukumbi huo
Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi ya tafrija hiyo Peter Mavunde ambaye alikuwa mc
wa Shuhuri hiyo akiwakabidhi zawadi ya sanamu za yesu akiwa kama
mchungaji wa kondoo na nyingine akiwaosha miguu wanafunzi wake.
Askofu Kinyaiya akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kipapa na nyingine akiwa na kamati ya maandalizi.
Balozi
wa Papa mtakatifu Nchini Franchesco Padilia na askofu wa kanda ya ziwa
Yuda Thadey Luwaichi wakijadiliana jambo kwenye shuhuli hiyo.
|
mgombea mwenza wa nafasi ya urais
Bi. Samia Suluhu akiwa anawahutubia wananchi wa mkoa wa Arusha katika viwanja vya Samunge vilivyopo jijini hapa
wananchi waliouthuria katika mkutano huo hii leo
mgombea
mwenza wa nafasi ya urais akiwa anacheza ngoma iliyokuwa inapigwa na
wamama wa chama cha mapinduzi waliouthuria mkutano huo
Baadhi
ya makada wa CCM ambao wamewahi kugombea nafasi ya ubunge wa jimbo la
Arusha mjini na kushidwa kutokana na kura kutotosha wakiwa ndani ya
mkutano huo
mgombea mwenza wa nafasi ya urais
Bi. Samia Suluhu akiwa ana mnadi mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini Philemon Mollel hii leo
Comments