DK MAGUFULI ADHIHIRISHA KUWA KWELI YEYE NI KATAPILA KATIKA KAMPENI ZA URAIS MKOANI KATAVI

 Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Mji wa Katumba , mkoani Katavi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Dk. Magufuli akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Majalila, wilayani Mpanda, ambapo aliahidi kujenga barabara ya Mpanda Kigoma kwa kiwango cha lami enedapo wananchi wakimchagua.
 Mzee akifurahia hotuba ya Mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CCM, Dk. John Magifuli katika Kijiji cha Vikonge aliposimama kwa muda kuwasalimia wananchi  akielekea Kata ya Mishimo kufanya kampeni wilayani Mpanda, Katavi leo.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia kabla ya kumtambulisha Mgombea urais wa Tanzania Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kata ya Mishimo, Mpanda mkoani Katavi leo.
 Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Mishimo Mpanda

 Sehemu ya umati wa wananchi  wakimsikiliza Dk John Magufuli katika Kata ya Mishimo
 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Mishimo ambapo aliahidi kuunda baraza litakalofanya kazi zaidi ya yeye. Pia ataanziasha Mahakama ya Wala rushwa na Mafiusadi
 Wakazi wa Kata ya Katumba, wilayani Nsimbo, Mkoa wa Katavi wakishangilia kwa furaha walipomuona Dk Magufuli akitambulishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimtambulisha Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni katika Kata ya  Katumba, wilayani Nsimbo

 Dk. Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Azimio  mjini Mpanda leo
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi wakati Dk. Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Mpanda leo
Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kabla ya kupanda jukwaani kuhutubia mjini Mpanda leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*