Dk.Ali Mohamed Shein ZINDUa MRADI WA (HIMA)MAKANGALE PEMBA.2

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akiuliza suala kwa Afisa wanyamapori Idara ya Misitu salum Khamis (kushoto) wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo
,[Picha na Ikulu.]
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Balozi wa Norway Trygve Bendiksby wakati alipowasili  katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Care Tanzania Bw,Paul Daniel (katikati) wakati alipowasili  katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Balozi wa Norway Trygve Bendiksby,
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akipanda mche wa muembe Mviringo ikiwa kama kumbukumbu yake wakati sherehe za  Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,
9
Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Care Tanzania Bw,Paul Daniel (katikati) Mwakili wa Balozi wa Norway Trygve Bendiksby (kushoto) na Waziri wa Ofisimya Makamo wa Pili wa Rais Mohaamed Aboud Mohamed pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein wakati alipotoa hutuba yake  katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,
7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Wazi wa Kilimo Mali asili Sira Ubwa Mamboya katika sherehe za  Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.
5
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo.
6 
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo
8
Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa mradi huo,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA