Mkuu wa Wilaya ya Singida Mh.
Said Ally akiongea na wanasemina katika mafunzo ya upandaji miti,
ufugaji bora wa nyuki na Ujasiriamali iliyofanyika katika ukumbi wa
Luluma Singida hivi karibuni.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga akitoa mada ya
Ujasiriamali kwa wanasemina wa Kikundi cha Wirwana Association For
Empowerment and Development Tanzania wakati wa mafunzo ya Ujasiriamali,
Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki iliyofanyika Mkoani Singida hivi
karibuni.
Mgeni rasmi wa pili kutoka kushoto
waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha Wirwana
Association For Empowerment and Development Tanzania mara baada ya
mafunzo Ujasiriamali, Upandaji miti na Ufugaji bora wa nyuki
iliyofanyika Mkoani Sing
Comments