WAZIRI SIMBA ASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA LA WANAWAKE WA AFRIKA MASHARIKI

 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto , Sophia Simba katikatik) akichangia jambo wakati wa Kongamnao la Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii. 
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba katika picha ya pamoja na baadhi ya wanawake wajasiliamali wanaoshiriki Kongamano  la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, akiangalia bidhaa za wanawake wajasiliamali katika maonesho yanayoendelea sambamba na  Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maedneleo ya Kiuchumi na kijamii.
 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba anashiriki katika Kongamano la pili la Wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika biashara ya na Maendeleleo ya Kiuchumi na kijamii, nchini Kenya.
Lengo la Kongamano hilo ni kuwaleta pamoja wanawake wafanyabiashara, wa Afrika Mashariki ili waweze kubadilishana uzoefu katika biashara pamoja na kuangalia namna ya kutumia fursa zinazopatikana katika umoja wa forodha.
 
Kongamano hilo linatarajia kuwapatia wanawake nafasi ya kubadilishana mawazo ya kibiashara na kuweka mikakati ya kuzifikia taasisi za fedha ili kujijengea  uwezo  wa kiuchumi na kibiashara.Kongamano hilo linategemewa kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 300 kutoka wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*