Waziri wa kilimo azindua uvunaji wa Alizeti Kisiwani Pemba


 Waziri wa Kilimo na Maliasili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk,Sira Ubwa Mwamboya , akizinduwa uvunaji wa Kilimo cha Alizeti KisiwaniPemba , huko katika bonde la kwa Dobi Wawi Pemba.

Picha na bakar mussa -Pemba.
 Katibu mkuu Wizara ya kilimo na maliasili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Afan Othman Maalim, akivuna Alizeti huko Kisiwani Pemba, wakati waziri wa Kilimo na Maliasili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk, Sira Ubwa , alipozinduwa uvunaji wa Kilimo hicho -Pemba.

Picha na Bakar Mussa-Pemba.
 Waziri wa Kilimo na Maliasili, wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk, Sira Ubwa Mwamboya,akizungumza na Wakulima wa Kilimo cha Alizeti wa kikundi cha Mchekeni cha Wawi Pemba, mara baada ya kuzinduwa uvunaji
wa kilimo hicho huko  Pemba.

Picha na bakar Mussa -Pemba.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI