DK MAGUFULI AFUNGA KAZI BABATI, ATIMIZA KAMPENI MIKOA 20, ASAFIRI KM 19,000 KWA BARABARA

 Moja ya mabango yaliyokuwepo kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli mjini Babati, mkoani Manyara. Hadi sasa Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia barabara kwa zaidi ya Km 19,000. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Babati. Hadi sasa Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia barabara kwa zaidi ya Km 19,000.
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwahesabia  viongozi wa chama hicho waliokuwa wakifanya mazoezi ya Push Ups wakati wa mkutano wa kampeni mjini Babati, mkoani Manyara. Hadi sasa Dk Magufuli ameshafanya kampeni katika mikoa 20 na kusafiri kwa njia barabara kwa zaidi ya Km 19,000.
 Ni Push Ups  kwa kwenda mbele
 Dk Magufuli akiungana na Chege na Temba  kucheza muziki wakati wa mkutano wa kampeni mjini Babati.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Dk Magufuli akihutubia wananchi waliouzuia msafara wake katika mji wa Endasak, wilayani Hanang, mkoani Manyara, akitokea kufanya mkutano wa kampeni wilayani Babati kwenda Hanang.
 Wananchi wa Endasak wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi
 Wananchi wa Endasak wakinyoonsha mikono juu kukubali kumpigia kura za ndiyo Dk Magufuli akatika uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Wilaya Hanang ndipo alipozaliwa Mpiga debe Mkuu wa Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa. Waziri Mkuu wa zamani Frederick Sumaye.
 Wananchi wa Kijiji cha Ndaseni wilayani Chemba, Dodoma, wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye msafara wake ulikuwa unatoka Singida kwenda Kondoa hadi Babati, mkoani Manyara.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Moja ya mabango ya wananchi yaliyokuwa yakioneshwa kwa Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni Makao Makuu ya Wilaya ya Chemba. mjini Chemba.
 Dk Magufuli na Mgombea ubunge Jimbo la Chemb, Juma Mkamia a wakisoma ujumbe uliopo kwenye mabango katika mkutano wa kampeni mjini Chemba
 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho, mgombea ubunge Jimbo la Chemba, Juma Mkamia
 Dk Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Kondoa, Dodoma.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Vijijini Dk Ashatu Kijaji wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa
  Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kondoa Mjini, Sanda Edwin wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kondoa
 Wananchi wakimshangilia Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kondoa
 Mambo ya Dk Magufuli mjini Kondoa
 Dk Magufuli akijnadi kwa wananchi waliuzuia msafara wake katika Kijiji cha Beleko mpakani mwa mikoa ya Dodoma na Manayara
 Mgombea ubunge Jimbo la Hanang, Dk. Mary Nagu akimpigia debe Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Babati
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Manyara, akimponda Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kwa uroho wa madaraka na kumsifia Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Babati
 Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, ambaye pia ni Mratibu Mkuu wa Kampeni za Dk Magufuli, Abdallah Bulembo akielezea wasifu wa Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Babati.
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni mjini Babati

 Sehemu ya umati wa wananchi kwenye mkutano wa kampeni za Dk Magufuli mjini Babati
 Dk Magufuli akiwaeleza wananchi wa Babati kwamba akishinda serikali yake iatawaondolea kodi wananchi wa hali ya chini.
Pia Dk Magufuli akiwaeleza wananchi kuwa akishinda urais serikali yake itakuwa ni ya viwanja vingi ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana na kupandisha tahamani ya mazao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*