DK MAGUFULI ATAMBA KWA VYOVYOTE YEYE NI RAIS,AIVURUGA CHADEMA ARUSHA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, ambapo alisema kuwa anataka jiji hilo kulifanya la kimataifa kwa kulipatia huduma muhimu ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara na kuondoa tatizo la maji.

Akijinadi katika mji wa Mto wa Mbu, Monduli na jijini Arusha, amesema kwa vyovyote vile yeye ni mshindi wa urais na kuwataka wananchi  wasipoteze kura zao kwa kumpigia mgombea asiyefaa,
 Dk Magufuli akipwaaga wananchi alipokuwa akitoka baada ya mkutano kumalizika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
 Dk Magufuli akiwa na akimna mama wa Kimasai katika mkutano wa kampeni mjini Monduli leo
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu wa zamani, Hayati Edward Sokoine, Monduli Juu, mkoani Arusha alipozuru
 Mgombea ubunge jimbo la Monduli, Namelock Sokoine, akijinadi kwa wananchi mjini Monduli
 Wananchi wenye jamii ya kimasai wakishangilia kwa furaha baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli
 Dk Magufuli akihutubia katika Mji wa Mto wa Mbu
 Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli katika Mji wa Makuyuni, wilayani Monduli
 Kijana akipiga Push Up baada ya kumuona Dk Magufuli katika Mji wa Makuyuni wilayani Monduli
 Baadhi ya viongozi wa CCM wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine Monduli Juu, wilayani Monduli.
 Dk Magufuli akisalimiana na mjane wa Hayati Edward Sokoine baada ya kuzuru kaburi
 Dk Magufuli na Namelock wakitoka baada ya kuzuru kaburi la Hayati Edward Sokoine
 Kazi ya wasanii kwenye mkutano wa Dk Magufuli mjini Monduli
 Wazee wa kimila wa kabila la wamasai, wakimuombea Dk Magufuli ili ashinde urais katika mkutano wa kampeni mjini Monduli
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akimnadi kwa wananchi Mgombea ubunge Jimbo la Monduli,Namelock Sokoine  mkoani Arusha jana wakati wa mkutano wa  kampeni  mjini Monduli
 Baadhi ya viongozi wa kimila wa kimasai wakiapa kumsaidia Namelock kufanya kampeni ili ashinde ubunge Jimbo la Monduli
 Dk Magufuli akimshukuru Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa kumpigia kampeni katika mkutano wa kampeni jijini Arusha
 Dk Magufuli akijadiliana jambo na Abdulrahman Kinana wakati wa mkutano wa kampeni jijini Arusha.
 Mama wa kimasai akishangilia  baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli mjini Longido
 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Longido,

 Dk Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika picha ya pamoja na akina mama wa kimasai wakati wa mkutano wa kampeni mjini Longido
















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.