Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akisalimiana na Mchungaji Maboya mmoja wa viongozi walioshiriki Tamasha
la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiwa na maaskofu na wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini waimbaji
mbalimbali wa muziki wa injili kutoka Tanzania na nje ya nchi kwenye
Tamasha la kuombea Amani kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015
lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa hapa Dar es Salaam tarehe
4.10.2015.
Mamia ya wananchi waliohudhuria
Tamasha la kuombea amani kuelekea Uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015
wakifuatilia wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili waliokuwa
wakiburudisha kwenye tamasha hilo lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa
tarehe 4.10.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiwapungia wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani kwa kuelekea
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwenye Uwanja wa Taifa tarehe 4.10.2015.
Anayepunga mkono kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato Tanzania
ndugu Mark Warwa Marekana.
Mke wa Rais ,Mama Salma Kikwete
akipokea Tuzo Maalum kwa niaba ya Rais Dkt. Jakaya Kikwete kutoka kwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato Tanzania Ndugu Mark Warwa Marekana
wakati wa Tamasha la la kuombea Amani kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa album mpya ya
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ndugu Ben Mwaitege wakati wa Tamasha la
kuombea Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 lililofanyika Uwanja wa Taifa
hapa Dar es Salaam tarehe 4.10.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani
kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa
Taifa tarehe 4.10.2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akiwapungia wananchi mbalimbali waliohudhuria Tamasha la kuombea Amani
kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa tarehe
4.10.2015.
PICHA NA JOHN LUKUWI.
Comments