MKUTANO WA CCM MAKOMBENI KUSINI PEMBA

4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mkoani Mkoa wa kusini Pemba, katika uwanja wa mpira wa Makombeni, mkutano huo wa hadhara wa kampeni za CCM ulifanyika leo ikiwa ni mfulilizo wa mikutano inayoendelea
3
Maelfu ya Wanachama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofurika katika uwanja wa mpira wa kijiji cha Makombeni  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,wakinyoosha mikono yao juu kuunga mkono sera za CCM zilizotolewa  katika mkutano wa Hadhara wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali za Uongozi katika Chama cha Mapinduzi,wakiwemo Rais wa Zanzibar,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani
5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwatambulisha wagombea Udiwani wa CCM kwa Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Mkoani Mkoa wa kusini Pemba, katika uwanja wa mpira wa Makombeni, wakati wa mkutano  wa hadhara wa kampeni za CCM ulifanyika leo ikiwa ni mfulilizo wa mikutano inayoendelea
6
Wananchi na WanaCCM pamoja na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wakisikiliza Sera za CCM zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa   mkutano wa Hadhara wa  kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo uwanja wa  Mpira Makombeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,
[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.