MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUINADI ILANI YA CCM,ATUA MAJIMBO 5 YA MOROGORO


Mamia ya Wananchi wa Kata ya Dumila Jimbo la Kilosa wakisikiliza sera za Mwigulu Nchemba alipokuwa akiinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Octoba 2, 2015.
“Wananchi wa Dumila,Mchagueni Mbunge huyu wa CCM,Ni Mchapa kazi na ameshaanza kufanya kazi za maendeleo hata bila kuwa Mbuge,Hakikisheni anashinda kwa kishindo iliakaungane na timu ya kazi ya Magufuli”Mwigulu akizungumza Dumila.
Mwigulu Nchemba akiondoka viwanja vya Mkutano Kata ya Dumila.
Mwigulu Nchemba akiwasili kata ya Kilombero Jimbo la Mikumi .
Mwigulu akiwahutubia Wananchi wa Kilombero Octoba 2, 2015 Kubwa amewaomba waendelee kuwa na Imani na Chama cha Mapinduzi hasa Mgombea Urais Ndg.J.Pombe Magufuli,Ilani ya CCM inatambua changamoto za Wananchi wa kilombero ambao asilimia kubwa ni wakulima wa Miwa na mnategemea kipato chenu kutokana na Kiwanda cha SUkari cha Kilombero,Uongozi Ujao wa magufuli unakwenda kufanya kazi ya kuhakikisha Wanakilombero wanafaidika na kiwanda hiki.”Mwigulu.
Mbunge Mtarajiwa wa Jimbo la Mikumi Bw. NKya akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Kilombero,Amesisitiza kusimamia hazi za wakulima wa miwa na Uboreshaji wa miundombinu ya Barabara.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.