PICHA ZA BRANDAN RODGERS ALIVYOSEPA NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUTIMULIWA LIVERPOOL

.
2D1DEBC900000578-3260454-image-m-42_1444057158201
Brendan Rodgers amepigwa picha akiwa airport na familia yake ambayo ni mtoto wake pamoja na mchumba wake. Rogders aliondoka Liverpool na ndege binafsi siku ya Jumatatu asubui na kufika Malaga Hispania muda mchache baadae.Rodgers alijulishwa kupitia simu na mmiliki wa kampuni ya Fenway Sports Group Mike Gordon ambae ni rais wa kampuni hiyo. Hizi ni picha za kwanza ambazo amepigwa Brendan baada ya kufukuzwa kazi.
2D1DEABE00000578-3260454-image-m-40_1444056921063

2D1DEAFE00000578-3260454-image-a-18_1444056226671
2D1DEB0600000578-3260454-image-m-38_1444056852112

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.