RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam .
  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam .
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw.  Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu wavuti mpya ya wakala huo ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni
  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.
   Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi wavuti mpya ya BRELA  ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni.
 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti  mweza wa baraza hilo wakifurahia baada ya kuzindua rasmi wavuti mpya ya BRELA  ambayo kuanzia sasa mteja atakuwa anajisajili yeye mwenyewe kupitia huduma hiyo ya mtandaoni
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akieleza kwa wanahabari juu ya mafanikio ya kikao cha tisa TNBC  hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam .
 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wadau wakuu wa biashara wakati wa  kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete watendaji wakuu wakai wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wadau wa biashara wakipata picha wakati wa kikao  cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na watendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF)   wakati wa kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na wana TNBC  katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA