RIDHIWANI KIKWETE AMPIGIA DEBE DK MAGUFULI BAGAMOYO

 Mgombea ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM, Ridhiwani Kikwete, akiwaomba wananchi kumpigia kura Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk John Magufuli (kushoto) wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo

Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo
 Dk Magufuli akihutubia katika Mji wa Tengeru, wilayani Same aliposimamishwa na wananchi akielekea Bagamoyo, mkoani Pwani. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mkazi wa Tengeru wilayani Same, akimfurahia Dk Magufuli
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi waliouzuia msafara wake eneo la Mbwewe, wilayani Handeni, Tanga uliokuwa ukienda Bagamoyo kwenye kampeni
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi eneo la Msata, Jimbo la Chalinze aliposimama kwa muda kuwasalimia wananchi.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete katika Mji wa Msata. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Ridhiwani Kikwete akimuombea kura Dk Magufuli kwa wananchi katika Mji wa Msata, wilayani Bagamoyo.
Mgombea ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akishukuru baada Dk Magufuli kumuombea kura kwa wananchi katika Mji wa Msata. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Dk Magufuli akipanda jukwaani alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo, PwaniDk Magufuli akitangaza sera za chama chake aliposimamishwa na wananchi katika Mji wa Kiwangwa, Jimbo la Chalinze, Bagamoyo.
 Ridhiwani Kikwete akimuombea kura kwa wananchi Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo

 Ridhiwani Kikwete akimwambia jambo Dk Magufuli katika mkutano huo wa kampeni mjini Bagamoyo
 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Bagamoyo, Dk Shukuru Kawambwa wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bagamoyo
 Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Ridhiwani Kikwete
 Dk Magufuli akiwanadi kwa wananchi Ridhiwani Kikwete (kushoto) na Dk Shukuru Kawambwa katika mkutano huo wa kampeni mjini Bagamoyo.
 Wananchi wakishangilia baada kufurahishwa na ahadi alizokuwa anazitoa kuiendeleza Bagamoyo hadi kufikia mji wa kaimataifa. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Dk Magufuli akimnadi Dk Kawambwa
Dk Kawambwa akimuombea kwa wananchi kura za ndiyo Dk Magufuli

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*