Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati
akifungua mkutano wa wadau wa takwimu wadau wa maendeleo Endelevu leo
jijini Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akizungumza na waandishi wa
habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa maendeleo Endelevu
(SDG’S) ambao shabaha yake kubwa iliukuwa kuweka mifumo ya namna ya
kutekeleza mpango huo leo jijini Dar es Salaam
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza
katika mkutano wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya viongonzi mbarimbari na wananchi walio hudhulia mkutano huo leo
jijini Dar es Salaa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii) --- Na
Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa serikali imesema
itakusanya takwimu na kuchapisha taarifa kwenye mitandao ya kijamii ili
wananchi waweze kutoa maoni juu ya maendeleo ya Taifa lao.
Comments