MKUU WA MKOA WA PWANI MHANDISI NDIKILO AKITETA NA VIONGOZI WA KILUVYA UNITED


MKUU wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo 'Mwenye Suti'
akizungumza na viongozi wa klabu ya Kiluvya United ya mkoani hapa
inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara inayotaraji kuendelea
hatua ya mwisho kuanzia mwezi Desemba mwaka huu ambapo timu
zitazofudhu hatua hiyo kutoka kwenye makundi zitatinga Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania msimu ujao. Kulia kwa Mkuu wa Mkoa ni waandishi
Sanjito Msafiri wa Mwananchi na Abdallah Zalala kutoka Champion wakiwa
na baadhi ya viongozi wa klabu hiyo, kikao hicho kilichofanyika
ofisini kwa Mkuu huyo kimejadili mambo mbalimbali yahusuyo timu hiyo.
(PICHA NA OMARY SAID).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*