MASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAMALIZIKA LEO TANGANYIKA PACKERS

Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT MuttaRwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kumkabidhi fedha za lambilambi zilizotolewa na wadau mbalimbali wakati wa mashindano ya ngumi ya taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe 
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Selemani Kidunda kushoto akimshambulia Mstafa Mtoro wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Kidunda alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza Picha naSUPER D BOXING NEWS

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto akipambana naMTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakirushiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba
Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA'
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu kwa bondia Zulfa Macho kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni 
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga
Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwalami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Gaitano alishinda mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.