MOJA KWA MOJA:Sunderland dhidi ya Manchester United


Katika Mechi ya jumamosi Kilabu ya Sunderland ambayo iko chini ya jedwali la ligi linakabiliana na kilabu ya Manchester United katika uwanja wa Stadium of Light.
17.39pm:Na mpira unakwisha ikiwa Sunderland wamefanikiwa kuichapa Manchester United.
17.38pm: la la la hatari hapa Sunderland yakosa bao la pili
17.37pm:Mkufunzi Van Gaal aangalia kopo la saa yake na wasiwasi
Sunderland 2-1 manchester United
17.35pm:Dakika nne za ziada zaongezwa.
Sunderland 2-1 manchester United
17.31pm:Kipa wa Sunderland aokoa shambulio kutoka kwa Anthony Martial
17.28pm:Makocha wa United wakiongozwa na Van Gaal na Ryan Giggs wakosa furaha
Image captionSunderland wapata bao la pili
17.26pm:Gooooooooooal Sunderland yajipatia bao la pili
Image captionbao la Sunderland
82'' Sunderland 2-1 Manchester United
16.25pm:Sunderland yapata kona
16.23pm:Manchester United wakosa bao pale baada ya Memphis Depay kuupiga mpira kwa kipa.
17.21pm:Kona nyengine kuelekezwa katika lango la Sunderland.Manchester United inafanya mashambulizi
17.91pm:Kona kuelekezwa kwa lango la Sunderland.
17.08pm:Mpira wa adhabu kuelekezwa lango la manchester United baada ya mchezaji wao kucheza visivyo
17.06pm:Kipa De Gea aokoa bao hapa kutoka kwa mshambulizi wa Sunderland baada ya kubaki na kipa.
17.03pm:Mechezaji mwengine wa manchester UnitedCarrick anapewa kadi ya njano baada ya kucheza visivyo.
Image captionDefoe atoka
17.02pm:Juan Mata anapewa kadi ya njano baada ya kucheza visivyo
17.01pm:Manchester sasa wanajaribu kupenya ngome ya Sunderland.
17.00pm:Mechi imeanza kwa kasi na kila timu inafanya mashambulizi hapa.
16.54pm:Sunderland inapata mpira wa adhabu. Kona
16.45pm:Kipindi cha pili cha mechi kinaanza
Image copyrightReuters
Image captionAnthony Martial
16.24pm:Gooooooal Manchester United wasawazisha kupiia bao lililofungwa na Anthony Martial
16.16pm:Mataaaaaaa kipa manone achukua mpira bila tatizo.
16.14pm:Manchester United yavamia lengo la Sunderland.
Image captionNahodha wa kilabu ya Manchester United Wayne Rooney
16.08pm:Shambulizi la Sunderland lampiga mkono beki wa manchester United lakini refa asema hajaunawa mpira licha ya wachezaji wa Sunderland kulalama
16.04pm:Wachezaji wa United wajaribu kushambulia lango la Sunderland lakini mabeki wa timu hiyo wakataa
16.03pm:Mpira wa kurushwa kuelekea lango la manchester United.
16.01pm:Vijana wa Sunderland waonekana kurudi nyuma ili kulinda lango lao,huku washambuliaji wa Mancheester United wakilazimika kufanya kazi ya ziada
Image copyrightBBC World Service
Image captionJermaine Defoe
15.57pm:La.la.la Defoe akosa bao la wazi hapa katika lango la manchester United.
15.53pm:Manchester United inafanya mashambulizi katika lango la Sunderland lakini bahati haijasimama.
15.51pm:Manchester United sasa inaanza kutafuta bao kwa udi na uvumba ili kuweza kusawazisha.
Image copyrightReuters
Image captionMkufunzi Van Gaal baada ya kufungwa kwa bao
15.48pm:Gooooooooal.Sunderland inapata bao lake la kwanza baada ya dakika tatu za mchezo,baada ya mpira wa adhabu kupigwa.
15.45pm:Mechi inaanza.Sunderland 0 0 Manchester United
Image captionwachezaji wa Sunderland
Sunderland
Image captionWachezaji wa manchester United
Manchester United

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.