Preview YouTube video Watu Wawili Wauawa Na Polisi Mwanza
Preview YouTube video Silaha Za Kivita Zinazotumika Katika Ujangili Zakamatwa
Preview YouTube video Taasisi Za Umma Na Mashirika Waombwa Kupiga Vita Rushwa
Preview YouTube video Tanzania Na Uturuki Wadumisha Uhusiano
Preview YouTube video Zanzibar Waombwa Kutatua Matatizo Ya Sekta Binafsi
Preview YouTube video Taasisi Ya Kuhudumia Jamii Zanzibar
Preview YouTube video Mwamuzi Aliyevurunda Kwenye Mechi Ya Yanga Atimuliwa
Preview YouTube video Wadau Wa Tenesi Waomba Kujitokeza Kugombea Uongozi
MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA
* Bi Julie Mkulo*Anasikitika kutangaza kifo cha mume wake *Bw.Mustafa Mkulo* kilichotokea Leo *04-05-2024* Katika *hospital ya Muhimbili Dar es salaam* Shughuli zote za mazishi zitakuwa *Msikiti Maamur* *04-05-2024* Maziko yatakuwa jumapili *05-05-2024* Kilosa Morogoro Taarifa zaidi zitatolewa baadae *Inna lillahi wa inna ilayhi rajioon* Pumzika kwa amani Mustafa Haidi Mkulo, Waziri wa zamani wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa.
Comments