KITIMUTIMU CHA MASHINDANO YA MBIO ZA KILI MARATHONI LEO

Mbio za Kili marathon zimefanyika leo manispaa ya Moshi mjini mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya chuo cha ushirika ambapo wakimbiaji zaidi ya 8000 wameshiriki mbio hizo.

Mbio hizo zimefunguliwa rasmi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel majira ya saa kumi na mbili nusu asubuhi ambapo mbio za kilometa 42 zilianza, huku wale kilometa 21 wakianza mbio hizo majira ya saa moja kamili asubuh.

Mbio hizo ziligawanyika katika makundi tofauti totauti kuanzia wale waliokimbia umbali wa kilometa 42, umbali wa km 21 huku kwa upande wa walemavu wao walishindana katika mbio za umbali wa km 10 pamoja na zile za kilometa 5 ambazo hazina ushindani. kila kundi walipatikana washindi wa mbio hizo.
Washiriki wa Mbio za 21 Km wakiwa tayari kuanza kushindana katika Mbio za Kilimanjaro Marathon 2017, zilizofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ushirika, Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro leo.
Sehemu ya Washiriki wa Mbio za 21 KM wakichuana vikalia katika moja ya njia zao mapema leo asubuhi.
Washiriki wa mbio za kilometa 10 kwa upande walemavu wakichuana vikani.
Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya mafuta ya GAPCO Tanzania wakiwa katika moja ya vituo vya maji.




































































Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA