HABARI MPASUKOOOO!!!!! NAHODHA WA SIMBA, MKUDE APATA AJALI

 Nahodha wa Simba, Jonas Mkude ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la ajali hiyo, Dumila katika shamba la mitiki zinaeleza kuwa watu waili ambao bado majina yao hayajapatikana wameumia na Mkude kupata majeraha kidogo na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu.

Watu hao walikuwa kwenye gari aina ya Toyota VX nambaT 834 BLZ, walikuwa wakitokea Dododma kushuhudia fainal;i ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Jamhuri ambapo Simba ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Mbao FC kwa mabao 2-1. PICHA KWA HISANI YA DAILY NEWS BLOG).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.